Ads 468x60px

Pages

Monday, June 13, 2011

Je Dallas kuutwaa ubingwa kwa mara yake ya kwanza?

Jibu la swali hili litapatikana kuanza majira ya 5.30 am IST pale Dallas watapoelekea Miami kwa ajili ya mchezo wa sita kati ya michezo saba, ambapo pindi wakishinda, basi watatwazwa kuwa mabingwa wa ligi ya kikapu marekani NBA

Lebron na Haslem wakipanga njama za namna ya kumbana mjerumani Dirk

Friday, June 10, 2011

Jiji la Dar es salaama lakumbwa na Tetemeko dogo



Jiji la Dar es salaama siku ya ijumaa lilikumbwa na tetemeko dogo la richta 4.8 (magnitude 4.8) na kusababisha kizaa zaa kwa wakazi watumiao majengo marefu mara baada ya wao kuishia yakimbia makazi yao hayo..
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania, Profesa Abdulkarim Mruma alisema kuwa tetemeko hilo lilitokea saa 5:28 asubuhi katikati ya Bahari ya Hindia katika kina cha kilometa 10, umbali wa kilometa 52 kusini mashariki mwa Dar es salaam na kilometa 105 kusini mashariki mwa Zanzibar.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala, Faustine Shigole alisema, " Tumepata taarifa za tetemeko la ardhi, lakini hakuna taarifa yoyote ya uharibifu wa mali, wala vifo na hali imekuwa shwari"

Aidha watu wafanyao shughuli za baharini, wametahadharishwa kuwa makini mno kwani haijulikani kama tetemeko hilo ndilo la mwisho ama, kwani yameshapiga jiji letu kwa mara ya pili ndani ya miezi 6.



Kwa habari zaidi na picha tembelea blog ya Issa Michuzi ya http://www.issamichuzi.blogspot.com/


Matokeo ya Bangalore University yameanza toka



Wale watainihiwa wa Bangalore university walifanya mitihani yao mwezi May, wanatangaziwa ya kwua matokeo yao yameanza kutoka kwa matokeo ya BBM semester ya 6 kutoka jana..
wanaweza yapata kwenye website zifuatazo :
http://www.indiaresults.com/
http://www.schools9.com/

Hongereni kwa mliofaulu, na kwa mlipinda njia kidogo, Msikate tamaa huo sio mwisho wa Dunia

Ma celebrity kwenye fashion awards...

Kim bwana.......















































Iran yapaga kulianzisha tifu tifu FIFA

Iran imepanga kufungua kesi Fifa kupinga uamuzi wa timu yao ya wanawake kunyimwa kucheza mchezo wao dhidhi ya Jordan na timu yao pinzani Jordan kupewa ushindi wa goli 3 - 0 mara baada ya Iran kunyimwa kuingia uwanjani kutoka na jezi zao zenye kufunika mwili mzima na zenye Hijab kichwani










Wachezaji wa Iran wakiwa mazoezini....soka linaendelea kama kawaida







Mysore Kulikoniii???????

HAbari zilizotufikia hivi punde ni kuwa mara baada ya kushambuliwa na Tembo siku kadhaa zilizopita na kuua mtu mmoja, kujeruhi watu na kuharibu mali kadhaa, jiji la Mysore limeshambuliwa na Leopard na watu wametakiwa kujifungia ndani kwa usalama wao.



















Kikao cha Pili cha Mkutano wa nne wa Bunge la Jamhuri wa Muungano Tanzania

Vikao bado vinaendelea na ajenda kuu ni kujadiliana juu ya budget ya Tanzania kwa mwaka wa fedha wa 2011 - 2012 na kuipitsha.

Waziri wa Fedha Mh. Mustapha Mkullo akiwasili bungeni kusoma budget ya 2011 - 2012

Waheshmiwa wabunge pamoja na waziri mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda wakiteta mambo mawili matatu.



Mheshimiwa Mbunge Edward Lowassa akiteta jambo na mwenyekiti wa chama cha upinzani cha APPT maendeleo ndugu Peter Mziray


Waziri wa Katiba, Mheshimiwa Celina Kombani akiteta jambo na mheshimiwa mbunge kijana aliyegraduate mwaka jana pale UDSM..Mheshimiwa David Kafulila wa jimbo la Kigoma Kusini



Waheshimiwa wabunge A. Lyatonga Mrema (katikati ) na Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji marefu (kushoto ) wakiteta jambo na naibu waziri wa fedha mheshimiwa G. Teu









Kwa wale wapenzi wa Street Basketball, tukutane Leaders club jumapili...

Kwa mara ya kwanza kabsaa katika historia, timu ya And 1 itatia timu na kucheza na timu ya Dar All stars kwenye viwanja vya leaders club siku ya jumapili...







mambo yatakua hiviiiii

Mwanamuziki Ja Rule aanza kutumikia kifungo chake

Mwanamuziki mwenye umri wa miaka 35 "Jarule" ameanza kutumikia kifungo chake mara baada ya kuhukumiwa kufungwa jela kwa mia miwili katika kesi ya kutumia silaha na alijisalimisha mwenyewe huku akiwa anatarajiwa tumikia kipindi cha miezi 18 hadi 20 pindi atakapotumikia vyema.

Twende Twendeeee

Aki wasalimia mashabiki wake mahakamani....


Sijui hapa alikua anamaanisha nini..



Akisign autograph za mashabiki..


Ja Rule akiwasili mahakamani ambako alijisalimisha mwenyeweee ili aanze tumikia kifungo chake



Mwaka 2006 pindi alipotembelea Tanzania, akiwa na wafanyakazi wa Clouds Fm


Ja Rule akiperform na mwanadada JLO


Ja Rule enzi zileeee...



JA Rule wa kitambo...

















It's all about de game, style and celebrities....in NBA

Uzuri wa mchezo huu wa kikapu, hukutanisha watu mbali mbali wakiwemo ma celebrity wa ukweli, na huwa na pamba za kufa mtu sio tu kwa washabiki, bali hata wachezaji wenyewe..

Mwanamuziki Justin Bieber

Mwigizaji Gabrielle


Rapa Lil Wayne


Dallas General Manager naye alikua anaonyesha kuwa yeye sio tu meneja bali anaujua vilivyo mpira wa kikapu...



Jason Kidd akiingia uwanjani




Wade na Lebron wakiingia uwanjani


Chris Bosh akiingia uwanjani



Jj Barea akiingia


Shawn Marion wa Dallas

Tungojee tu hiyo jumatatu kwa Game 6





















TASABA BLOG imerudi na habari za NBA finals

Timu ya Dallas Mavericks ilifanikiwa kushinda mchezo wa tatu kati ya mitano iliyokwisha chezwa kwa kuwachapa miami heat kwa vikapu 112 kwa 103..
Dallas waliongozwa vyema na mjerumani wake Dirk, JJ Barea, Jason Kidd, Terry, na Chandler wakiwaacha Big 3 wa Miami heat (D.Wade, Lebron James na C. Bosh ) wakitokota huku Wade akiishia kuumia.

Game 6 ni jumatatu jijini miami ( 5.30 am IST )


Hivi ndivyo anga la Dallas lilivyokua mara baada ya mchezo

J. Terry akiwaonyesha mashabiki kuwa tiyari tushawapandisha ndege ya AIr Dallas haw amara baada ya kuchoma 3




Bwa mdogo Jj Barea alithibithisha kuwa urefu sio hoja kwenye kikapu kwa mchezo wake mzuri siku hiyo



Lebron akiwa kama haamini kilichotokea



Wade pamoja na kuumia, alijitahidi kurudi na kuokoa timu yake ila hawakafua dafu



Dirk akipiga moja ya his trademark shots


Chandler naye hakua mbali



Chris Bosh akijitahidi ipenya ngome ngumu ya Dallas



Walimbadilishi awatu wa kukaba weee mpaka wawakachoka