
kwa wanafunzi amabao wanasoma chini ya Bangalore University matokeo kwa baadhi ya faculty mbalimbali za Bangalore University yametoka tembelea tovuti ya www.schools9.com
kuangalia matokeo yako.
RAIS:JUMANNE RAJABU +919901837490, MSEMAJI:ALDO KAMUGISHA +919742487082, MAKAMU:ANASE STEPHEN +919731339875, KATIBU:EDNA STEPHEN +919611145774, MHADHINI:VINCENT NKINI +919731955664.
1 comments:
Hongereni viongozi na wanafunzi wote wa Kitanzania mnaosoma Bangalore kwa kuweza kuendeleza TASABA chama ambacho mimi ni miongoni mwa waasisi wake miaka ya 2001 tukiwa na Aboud Jumbe. Poleni na misukosuko yote mnayokumbana nayo......Abdurabi Tambwe
Post a Comment