Ads 468x60px

Pages

Tuesday, October 26, 2010

Uchaguzi wa Federation of International Students Association - Bangalore

Uchaguzi wa Federation of International Students Association - Bangalore [FISA-B] utafanyika ijumaa hii tarehe 29-10-2010,yeyote anayehitaji kugombania nafasi yoyote (Urais,Katibu,Mweka hazina au mmoja wa wajumbe wakuu)awasiliane na Rais wa TASABA au Makamu wa rais jumatano hii kuaniza saa kumi na mbili jion.
Wizara ya habari

Monday, October 25, 2010

BU will outfox exam cheats with numbers


In another step to prevent irregularities in exams, Bangalore University (BU) will ensure that evaluators will not get to see the registration number of students on answersheets. Instead, they will see a dummy number, which would be unknown to the student.

Here’s how it will work.

Starting November 9, students will be asked to write their registration number at a designated place on the page one of the answersheet. After the exam is over, the sheets will be sent to designated centres where they will be scanned.

After scanning, a computer will generate and allot a dummy number for each answerscript. A custodian would then tear and keep the first page aside while sending the rest, with the dummy number, to examiners.

Post-evaluation, the marks and dummy number would be fed to the computer, which will match it with the corresponding student.

The university has warned students against writing the registration number in any part of the answerscript. The BU rule says, “If a student scribbles the registration number in any other place, it would be considered as malpractice. The student risks being debarred.”

Prof M Siddanand, who is part of a committee whose members are visiting colleges to explain the new system, said, “The university has introduced this process to prevent examiners from identifying the candidate or college the answerscript belongs to.”

Authorities are introducing this step after coming across cases of examiners and custodians getting in touch with students using the registration number.

Biometrics for examiners
In another first, examiners have been asked to swipe their thumb at the exam centre twice a day (at entry and exit). Sources said this rule was introduced following reports that some examiners were either not reporting to duty or not performing as required.

They have also been asked to produce two photographs so that identity cards can be issued. BU sources said, “We were forced to introduce this step after coming across instances of fake teachers evaluating answerscripts.”

Sridhar.Vivan@timesgroup.com

DISCLAIMER:
The article has been taken from the newspaper "BANGALORE MIRROR" for the best interest of Tanzania students and foreigners who are studying in Bangalore that is why we have decided to post it.

Bangalore University Bundles All Its Foreign Students Into A Single Exam Hall



Bangalore:
Nearly 1,500 foreign students in various colleges and courses across the city are troubled by just one question: Why? A question triggered by Bangalore University which has decreed that henceforth, all of them will write their examinations at one centre.
In a circular dated October 19, a copy of which is with STOI, BU directed colleges to instruct foreign students to report to Kristu Jayanti College for their exams as per the time-table. While the affected students were apprehensive to even speak to mediapersons about it, college principals were incensed, more so because the university gave no reason. But R M Ranganath, registrar (administration), says it was done to provide them with a “good centre”.
THE CIRCULAR
“Contact the principal of Kristu Jayanti College in person and submit the list of foreign students of I, III and V semesters of both freshers and repeaters to the exam centre on or before October 25. Also provide cooperation, coordination and assistance as required by the institutions where the exam is held,” states the circular signed by T R Subramanya, registrar (evaluation) of BU.
The circular further states that under no circumstance should foreign students be put to any inconvenience, and that, “If any foreign students takes the exam other than in Kristu Jayanti College, his/her result will not be declared.”
The university has asked colleges to rewrite the address of the exam centre as Kristu Jayanti College in the admission ticket of foreign students and issue them after an attestation by respective principals. Also, a list of foreign students who have paid the exam fee, course details and subject details semester-wise need to be submitted to the principal of Kristu Jayanti on or before October 25 to enable the college to make necessary arrangements to conduct the examination.
However, practical exams will be conducted in respective colleges.
PRINCIPALS CRY FOUL
Principals have termed the circular a “preposterous move” and “bound to add confusion to the muddle”. They have written to the vice-chancellor that there is no reason why foreign nationals should travel to only one centre to write the exam. “What wrong have they or their institutions done?” principals asked. They added that most foreign students, unfamiliar with the city and not knowing the language, stay in hostels, rooms and as paying guests close to the colleges. Asking them to travel to a new exam centre is subject to harassment and places them at a disadvantage. “They may lose their way and not reach the centre in time. We need to treat all students equally,” a principal of a first grade college, who didn’t want to be named, told STOI.
Another upset principal said, “Most students stay near their college. We can arrange transport for one day but how can we arrange every day? Moreover, officials are not giving any reason for this decision.”
Principals feel this move will result in confusion over register numbers. “It’s unjust to discriminate on the basis of nationality. This move will bring disrepute not only to BU but to the country as well,” they said.
WHAT BU HAS TO SAY
“We have about 1,500 students from over 10 countries. We want to provide them with a good college as an exam centre. We’ve started with Kristu Jayanti College; next time it’ll be another college and it will change on rotational basis. The main parameters for selection is ambience and infrastructure. We’ve taken into consideration representation from college principals and discussed the distance factor too. We’ll see how it works for students and based on feedback, we’ll decide later,” said R M Ranganath, registrar (administration), BU.
Shruthi Balakrishna | TNN


DISCLAIMER:
The article has been taken from the newspaper "TIMES OF INDIA" for the best interest of Tanzania students and foreigners who are studying in Bangalore that is why we have decided to post it.

Saturday, October 23, 2010

Tangazo la ajali

TASABA ina huzun kubwa kuwatangazia, ndugu Juvenalis Malai amepata ajali ya pikipiki na kuvunjika mguu mara 2,kafanyiwa upasuaji mchana na kuendelea kulazwa hospitali ya Shre Vijayalakshmi, mbele ya Hennur kama waelekea Gubi.
Wanajumuiya twaomba tushirikiane kwa hili na kumkumbuka katika sala.
wizara ya habari

Monday, October 18, 2010

Mechi ya pili ya kirafiki(Tanzania vs Sudan)

Katika kujaribu kuzidi jenga undugu,upendo na ushirikiano na jamii zingine za wanafunzi mbalimbali watokao nchi zingine hapa Bangalore, TASABA chini ya wizara yake ya michezo ilijaribu weka mechi nyingine ya kirafiki mnamo tarehe 17-10-2010 siku ya jumapili kwa ajili pia ya kujipima nguvu na kuifua timu yetu.

Lakini kutokana na sababu zilizokuw anje ya uwezo wetu,pamoja na wachezaji na washabiki mbali mbali kufika uwanjani kushangilia nchi zao,mechi hiyo ilibidi na kulazimika kuahirishwa mpaka hapo itakapotangazwa hapo baadae.

TASABA inajaribu kufanya kila liwezekanalo ili mechi hiyo iweze chezwa mapema kabla wachezaji hawajapewa mapumziko maalumu kwa ajili ya kuwawezesha kujiandaa vyema na mitihani yao ya kumaliza mwaka wa masomo.

Tunawashukuru WaTanzania woote waliojitokeza na twawaombeni tuzidi kuwa na moyo huo huo.

Mungu ibariki TASABA,
Mungu ibariki Tanzania...

Wizara ya michezo

Mechi ya Kirafiki ya majaribio. (Tanzania vs Nigeria )

Mnamo tarehe 16-10-2010 timu yetu kabambe ya mpira wa miguu ilianza vizuri msimu wake wa mechi za majaribio kwa ajili ya kujiandaa na michuoano mikuubwa ya wanafunzi wageni walioko bangalore (Bangalore's International Students' Annual Sports Tournament ) mnamo mwezi wa kumi na mbili baada ya mitihani ya muhula kwa ushindi maridaaaadi wa mabao mawili kwa moja la kubahatisha la waNIGERIA walioko bangalore.

Huu ni mwanzo tu na uongozi unapenda kuwapongeza wachezaji pamoja na woote walioshiriki katika ushindi huu maridadi na kufanya timu yetu izidi kuogopewa na timu nyingi.

Pia Uongozi unapenda kuwashukuru WaTANZANIA woote waliojitokeza uwanjani kuishangilia timu yote kwa uzalendo mkuubwa hadi kuchangia timu yetu kupata ushindi huo ambao ulikua mgumu kufuatia kwa waNIGERIA hao kubahatisha kagoli kao wakati sie WATANZANIA tukiusoma mchezo.

Tunawasisitiza WATANZANIA tuzidi ishi kwa umoja,amani na upendo na pia wachezaji kuzidi jituma kwenye mazoezi ili michuano ya mwezi wa kumi na mbili tuwe moto wa kuotea mbali kama kawaida yetu kwani nguvu tunazo,nia tunayo na uwezo hasa wa kushinda michuano hiyo tunao.

Mungu ibariki TASABA,
Mungu Ibariki Tanzania...

Wizara ya Michezo

TASABA's FIRST GENERAL MEETING

Uongozi wa TASABA 2010 -2011, ulikutana na kufanya kikao chake cha kwanza baada ya kuchaguliwa na kuteuliwa kwa viongozi mbalimbali.

Kikao kilihudhuriwa na viongozi karibia wote,na kilifunguliwa na Katibu mnamo saa nane na nusu mchana tarehe 16-10-2010, Indo Asian College, Kamanahali.
Mambo mbali mbali ya maendeleo yalizungumziwa na kupangiwa mikakati ya namna ya kuyakabili na kuyashughulikia.

Kikao kilifungwa mnamo saa kumi alasiri na viongozi wooote kuelekea uwanjani "Banaswadi Stadium" kuishangilia timu yetu ya mpira wa miguu.

Habari zaidi zitawafikieni wanajumuiya kupitia viongozi wa Vitongoji vyenu.

Mwanzo ulikua mzuri, Mungu ibariki TASABA, Mungu tubariki WATANZANIA.
Katibu,Edna Stephen

UONGOZI MPYA WA TASABA

Uongozi mpya wa TASABA ( Tanzanian Student's Association - Bangalore ) ulioteuliwa na kusimikwa rasmi kazini baada ya uchaguzi wa tarehe 3-10-2010,unapenda kuwataarifu juu ya viongozi wa serikali kuu walioteuliwa kwa ajili ya kuwaongoza na kuwawakilisha WaTanzania woote tulioko bangalore katika kipindi cha mwaka 2010 - 2011.

MAIN OFFICIALS:

1. PRESIDENT
Mr. Jumanne R. Mtambalike

2. VICE PRESIDENT
Professori Anase Stephen E. M.

3. GENERAL SECRETARY
Ms. Edna Stephen

4. TREASURER
Mr. Vincent Nkini

5. VICE TREASURER
Ms. Sandra Mkwasa

6. PRESIDENT AND REPRESENTATIVE OF ACHARYA (TASAA)
Mr.Hamisi Fupi.

7. SPOKESPERSON
Mr. Aldo Kamugisha

8. ADVISORS
a) Mr. Ahobokile Mwakyusa
b) Mr. Fidelis Msomekela

MINISTERS ( VIONGOZI WA WIZARA MBALIMBALI )

· MINISTRY OF CULTURE AND EDUCATION

WAZIRI - Mr. Olais Alexander
-Manaibu waziri a) Mr. Mushobozi Baitani
b) Mr. Reward Elias

· MINISTRY OF INFORMATION
WAZIRI - Mr. Julius Mushi
Naibu waziri - Mr. Hartman Masaki

· MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS
WAZIRI - Mr. Joseph Nanyaro
Naibu waziri - Ms. Alice Kemilembe Kazoba

· MINISTRY OF DISCIPLINE
WAZIRI - Mr. William Mziray
Naibu waziri - Mr. Simon Nguma

· MINISTRY OF PEOPLE AND ENTERTAINMENT
WAZIRI - Mr. Jimmy Casian
Manaibu waziri a ) Ms. Eunice Frank Lulinga
b ) Mr. Jerome J. Ndyamukama

· MINISTRY OF SPORTS
WAZIRI - Mr. Khalid Matengo
Naibu waziri - Abdullah A. Salum

REGIONAL LEADERS ( VIONGOZI WA VITONGOJI ):

1. BANASWADI &
Ms. Susan Kavishe

2. GUBI
Mr. Fredrick Mathias

3. HENNUR
Mr. Kibakaya Miraji

4. HORAMAVU & RAMAMUTHYNAGAR
Mr. Jimmy Casian

5. INDIRANAGAR
Mr. Deogratius Rweyemamu

6. KAMANAHALLI
Mr. Hamis Fintan

7. KUMARASWAMY LAYOUT & KORAMANGALA
a) Mr. Abbas Simkoko
b) Mr. Jefrey Emesu "Olaki"

8. MAGADI
Ms. Juster Stanley

9. T.C. Palya
a) Mr. Uthman Yunus
b) Mr. Elinazi Kisaka


Rais Jumanne R. Mtambalike

Sunday, October 17, 2010

KINGAMBONI PROJECT THE MYTH OR REALITY........

Tuesday, October 12, 2010

MITIHANI YA BANGALORE UNIVERSITY.


Mitihani ya Bangalore University inategemewa kuanza mwisho wa mwezi huu.Wanafunzi wa kiTanzania katika vyuo mabalimbali hapa Bangalore wanategemewa kufanya mitihani hiyo.Muheshimiwa Rais Jumanne Mtambalike anawaomba waTanzania kuwa makini hasa kipindi hiki cha mitihani kujiepusha na mambo amabayo yatawatia katika matatizo na kuwasababisha wasifanye mitihani yao kwa amani.Amewaomba wawe waangalifu na kuwatakia kheri katika mitihani yao Mungu awasaidie waifanye kwa umakini na wafaulu.
"wizara ya habari TASABA"