Mwanamuziki mwenye umri wa miaka 35 "Jarule" ameanza kutumikia kifungo chake mara baada ya kuhukumiwa kufungwa jela kwa mia miwili katika kesi ya kutumia silaha na alijisalimisha mwenyewe huku akiwa anatarajiwa tumikia kipindi cha miezi 18 hadi 20 pindi atakapotumikia vyema.
Twende Twendeeee
Aki wasalimia mashabiki wake mahakamani....
Sijui hapa alikua anamaanisha nini..
Akisign autograph za mashabiki..
Ja Rule akiwasili mahakamani ambako alijisalimisha mwenyeweee ili aanze tumikia kifungo chake
Mwaka 2006 pindi alipotembelea Tanzania, akiwa na wafanyakazi wa Clouds Fm
Ja Rule akiperform na mwanadada JLO
Ja Rule enzi zileeee...
JA Rule wa kitambo...
0 comments:
Post a Comment