Ads 468x60px

Pages

Tuesday, February 15, 2011

UTOAJI WA MAONI KATIKA BLOG YETU

Ewe Mtanzania mwenzetu
Kama una maoni ,ushauri,mawazo kuhusu TASABA
tunafurahia na kuthamini mchango wako,
ila tunapenda kusisitiza matumizi ya lugha nzuri,
isiyo na matusi,vitisho,majungu na fitna
kwani haijengi ila inaleta uharibifu wa jumuiya yetu.
Hivyo,tunawaomba sana kutumia hekima na busara kama wasomi
PAMOJA TUTAIJENGA NA KUIMARISHA TASABA YETU!

2 comments:

Anonymous said...

mmenifurahisha sana viongozi kwa kutumia busara ya hali ya juu kama hii,mnaelekea safu yenu ya uongozi ina watu wenye busara nyingi na mwasikiliza ushauri mzuri. Mungu awazidishie!

Anonymous said...

Masuala ya ulipukaji wa mabomu kwenye kambi za majeshi yasipelekwe kisiasa kwani madhara yake ni makubwa hususan kwa nchi kama yetu inayohitaji utulivu wa kijamii, kiuchumi na kisiasa ili kusongesha gurudumu la maendeleo,kutoka hali duni iliyopo mpaka hali nzuri.Raia watambue kwamba wanatakiwa kusafisha mfumo uliopo usiozingatia matakwa ya umma.

Post a Comment