Timu ya Dallas Mavericks ilifanikiwa kushinda mchezo wa tatu kati ya mitano iliyokwisha chezwa kwa kuwachapa miami heat kwa vikapu 112 kwa 103..
Dallas waliongozwa vyema na mjerumani wake Dirk, JJ Barea, Jason Kidd, Terry, na Chandler wakiwaacha Big 3 wa Miami heat (D.Wade, Lebron James na C. Bosh ) wakitokota huku Wade akiishia kuumia.
Game 6 ni jumatatu jijini miami ( 5.30 am IST )
Hivi ndivyo anga la Dallas lilivyokua mara baada ya mchezo
J. Terry akiwaonyesha mashabiki kuwa tiyari tushawapandisha ndege ya AIr Dallas haw amara baada ya kuchoma 3
Bwa mdogo Jj Barea alithibithisha kuwa urefu sio hoja kwenye kikapu kwa mchezo wake mzuri siku hiyo
Lebron akiwa kama haamini kilichotokea
Wade pamoja na kuumia, alijitahidi kurudi na kuokoa timu yake ila hawakafua dafu
Dirk akipiga moja ya his trademark shots
Chandler naye hakua mbali
Chris Bosh akijitahidi ipenya ngome ngumu ya Dallas
Walimbadilishi awatu wa kukaba weee mpaka wawakachoka
0 comments:
Post a Comment