Ads 468x60px

Pages

Wednesday, April 6, 2011

Mkutano wa Bunge la jamhuri ya Muungano ya Tanzania waanza leo

Spika wa Bunge Mh. akiingia bungeni kuashiria kufunguliwa kwa vikao vya bunge...

Bunge letu la jamhuri ya Muungano ya Tanzania likiwa na wabunge wengi kiasi

Spika wa Bunge akiteta hoja

Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akiteta jambo na waziri ofisi ya rais, utawala Mh. Mathias Chikawe

Sio tu uongozi bora, hata fani hii pia nimo

ndivyo inawezekana Mama yetu alitaka dhihirishia umma kuwa hata fani ya ngoma za asili pia yumo...kama anavyoonekana akiyarudi hapa

LEO NDIO LEO, MTU HATUMWI HATA JIKONIIIIII

Macho ya wengi leo yatakuwa focused hapaaaa...


Macho ya wengi leo yatakuwa focused hapaaaa

Tuesday, April 5, 2011

REGISTRATION FOR THE FISA-B GRADUATION...

FISA-B GRADUATION 2011

Dear all brothers and sisters,
The International Students Graduation 2010, Organized by the Federation of International Student Associations (FISA-B) is again on its way. This year, we shall be graduating a total number of 500 international students.
DATE- 18 JUNE 2011
VENUE- LALIT ASHOK HOTEL
REGISTRATION WILL TAKE PLACE FROM THE 5TH TO THE 9TH OF APRIL AT THE ICCR OFFICE (ICCR Office (7/2, 1st Floor, 2nd Main Road, Palace Cross Road. Bangalore– 560020 – Close to Mount Carmel College). FROM 11AM TO 5 PM
REGISTRATION DATES AND QUOTAS ARE ALLOCATED AS FOLLOWS:
5th APRIL - AFGHANISTAN and YEMEN (50 students max allowed for each)
6th APRIL – SRI LANKA (125 students max allowed)
7th APRIL – BHUTAN (50 students Max allowed) and NEPAL (25 students Max allowed)
8th APRIL – IVORY COAST (50 Students Max allowed)
9th APRIL – open to all COUNTRIES
(The above quotas are based on past graduations experiences)
** note: ALL OTHER COUNTRIES NOT MENTIONED ABOVE, MAY ALSO REGISTER ANY TIME FROM THE 5TH TO THE 9TH (But the earlier the better in order to avoid any difficulty)

POINTS TO NOTE:
1. THE REGISTRATION IS ONLY FOR STUDENTS WHO ARE PURSUING UNDERGRADUATE, POST GRADUATE AND DOCTORATE COURSES UNDER BANGALORE UNIVERSITY OR ANY RECOGNIZED AUTONOMOUS COLLEGE IN BANGALORE.

2. GRADUATES ARE REQUESTED TO COME PERSONALLY TO THE OFFICE AND REGISTER THEMSELVES.


3. GRADUATES MUST ALSO BRING ALONG WITH THEM THE GRADUATION FEE OF RS 2000.

4. A PASSPORT SIZE PHOTO IS STRICTLY REQUIRED. THE GRADUATE MUST EMAIL THE PHOTO TO fisabengaluru@gmail.com BEFORE COMING TO THE OFFICE TO REGISTER (please do not forget to mention your full name, country, college and course in t5he e-mail).


5. DISCLOSURE OF A VALID COLLEGE/UNIVERSITY IDENTIFICATION IS MANDATORY.

6. THE PRICE FOR THE PARENTS/GUESTS IS 1200 PER HEAD


7. THERE ARE ONLY 200 SEATS FOR THE PARENTS/GUESTS. HENCE, THE STUDENTS CAN ONLY BRING ONE GUEST EACH AND WE SHALL ONLY REGISTER 40 GUESTS PER DAY.

8. REGISTRATION WILL BE ON FIRST COME FIRST SERVE BASIS


9. ALL GRADUATING STUDENTS SHALL BE ENTITLED TO RECEIVE A FISA-B MAGAZINE ON THE GRADUATION DAY

10. A MAXIMUM OF 15 STUDENTS FROM INDIA WISHING TO GRADUATE WITH FISA B WILL BE ACCEPTED.

VISIT www.fisab.org FOR MORE INFORMATION AND TO DOWNLOAD THE REGISTRATION FORM.

Miss Eunice J.
FISA-B JOINT SOCIAL WELFARE SECRETARY
( TASABA REPRESENTATIVE TO FISA-B)

Maneno ya watu wengi yaliyobaki vinywani mwao mara baada ya mahafali..

Mr.Ravi Shanker ( the guest of honor) " Eventhough you faced some technical difficulties, you managed the situation well to ensure the well organized and programmed event goes as planned, Congratulation TASABA for all the achievements you got for this term. This is the best Graduation ceremony i have ever attended organized by students association..."

Mr. Antonio Alberto Cossa ( The chief Guest and President of FISA-B), " Congratulations Tasaba 2010-2011, u managed to organize the graduation in such a way that we enjoyed everything you had planned for us, we never wished for it to end..."

Mr. Job ( Vice President U.A.C.B), " Throughout the time i have been in India, i have never seen an event organised by students association being well organised like the TASABA GRADUATION 2011, with such committed leaders and alot of achievements"

Miss Yureshmi ( The Vice President Fisa-B), " I wish if this party never ended, because we enjoyed every single minute of it...congratulations Tasaba 2010-2011"

Mr. Deus (the former President Tanzanian students association in Tamil Nadu), "Tasaba 2010-2011 have set a standard that will never be able to be reached by any other students association not only in bangalore, but India as a whole, never expected for this association to be this organised"

Mr. Mohammed ( Chad students association President), " Congrats Tasaba 2010- 2011, i never expected such a wonderful program..."

Mr. Krop (Kenyan students association) , " i wish if i can get such committed leaders in my association because the whole event shows how team work can pull off event nzuri kama hiii, sisemi maneno mob, hongereni sana TASABA"

Mr. Dawood ( FISA-B treasurer) , " I had such a quality time with my Tanzanian Friends, i learnt even how to dance Tanzanian songs, everything was well handled by TASABA, congrats."

Designer Sheria Ngowi, " Aiseeee sikuamini macho yangu kwa jinsi Tasaba mlivyokua mmejipanga, kila kitu kilikua bomba mbaya, venue ilikua nzuri, mziki mzuri, ceremony ilipelekwa vizuri, fashion show ilienda vyema, watu walipendeza, na walikua wengi mnoooo, sikutarajia aisee yaani tasaba ya mwaka huu mmefanya kazi nzuri sana, hii iwe mojawapo ya mafanikio yenu ya mwaka mzima...hongereni sana wadogo zangu"

Watu toka Mysore, "sasa Tasaba, nyie mmemaliza kila kituuuuu, sie tutafanya kitu gani kipya?haya bwana tumewavulieni kofia aiseee mwaka huu mlijipanga vyema."

Graduate Salome, " Asanteni Tasaba kwa kunipendezeshea siku yangu ya mahafali,sikutegemea iwe nzuri vileee"

Graduate Ally, "Well done viongozi wa Tasaba, graduation ilikua nzuri sana."

Graduate Halima, " asanteni uongozi wa Tasaba kwa ujumla, shughuli yetu ilikua nzuri kupita maelezo"

Graduate Oscar, " aisee viongozi hivi ile 1700rs yetu ilitosha kweli?mbona shughuli yetu ilikua nzuri hiviiii??"

Graduate Freddy, " Mie nilijipanga kwa ajili ya graduation yangu lakini nilikuja kuta TASABA 2010-2011 ilijipanga vyema zaidi, kazi nzuri sana."

Tasaa President Hamisi Fupi, " Aisee viongozi napenda kuwapongeza kwa shughuli nzuri mno, yaelekea mlijipanga vyema na vilivyo, Hongereni sana na poleni"

Ugandan Representatives, " You Tanzanians are well organized, we wish if we could reach your standards, today's event was superb"

Abbas , " Ukumbi tuuuuu, ulitosha kupendesha shughuli yooote, na jinsi mlivyojipanga ndio mkawamaliza watanzania woote.kazi nzuri Tasaba."

Dj Charlie, " You guys did a nice work, the ceremony went wll, de food was awesome and the music finished everything....have never seen somethin similar to this here in India."

Dj Prezoo, " Ehh bwana kazi ilikua bomba mnooooo mziki ulikua sio wa kitoto"

Graduates wengi walisemaaaaaa, " ama kweli hela yetu ilienda freeeeehs wala hatudai chenji hata kidogo, labda tuambiwe tunadaiwa sisi, asanteni uongozi kwa kufanikisha shughuli yetu vyema"

Shukrani za UONGOZI wa TASABA...

UONGOZI WA TASABA 2010 - 2011 unapenda kushukuru woote waliojitolea kwa moyo na hali kufanikisha shughuli yetu hii ya mahafali ya mwaka 2011, ni vigumu kushukuru mmoja mmoja lakini tungependa kutoa asante zetu za dhati na twazidi waombeeni nyote Mungu awazidishieni mnooo..!
kama kuna pahala tuliwakoseeeni basi mtusamehe....


TASABA GRADUATION CEREMONY 2011 YAFANA MNOOOOOOOOO

hamuna maneno mingi, ni picha tu kwa kwenda mbele, ceremony ilivyopendezaaa



Graduates Uthman, Salome na Mongella


Rais wa TASABA akizindua Magazine na website ya TASABA....mojawapo ya mafanikio ya TASABA katika kipindi chote cha miaka minane toka ianzishwe...

Graduate Salome akiwa na Rogers na wageni wa nchi zingine

Viongozi wa TASABA nao walipata wasaa wa kufurahi pamoja mara baada ya kazi nzito ya kuandaa shughuli hii, kama waonekanavyo Rais Jumanne, Makamu wa Raisi Professori Anase, Katibu Edna na Mwakilishi wa TASABA kwa Fisa-B na pia joint social welfare secretary bi Eunice J., wakiwa na rafiki wao wa muda mrefu

Graduate pekee tokea Tc Pallya na kiongozi wake wa huko Bwana Uthman akiwa kwenye picha ya pamoja na wasindikizaji wake bwana Oscar, Linus na Muddy


Ma graduate toka familia ya mzee Shawa, Matthias na Tom wakiwa na Ellen na Neema
Graduate Ntemi akiwa na Matthias pamoja na Rais wa tasaa bwana Hamisi fupi

Designer Sheria Ngowi akiwa na Graduate Oscar na Mc wa shughuli Professori Anase na marketin manager wa Sheria Ngowi de brand...

Graduates Tom na Ahobokile ( Mshauri wa Rais TASABA) wakiwa pamoja na kiongozi wa TASABA Kumaraswammy layout bwana Abbas pamoja na Hartman..

baadhi ya Ma Graduates wakiwa wote kwenye picha ya pamoja


Baadhi ya ma graduates wakiwa kwenye picha ya pamoja

Rais wa TASABA bwana Jumanne akiwa na mshauri wake mheshimiwa Ahobokile

Kiongozi wa TASABA wa rubudani dada Eunice Frankie akipokea nondoz yake

dada Maria "Maya" akiwa pamoja na kaka zake waliohitimu masomo yao bwana Tom na Matthias, pamoja na Mweka Hadhina wa TASABA bwana Vince pamoja na Waziri wa nidhamu bwana Simon Ph Nguma...

Kiongozi wa TASABA toka TcPallya estate Uthman akiwa katika picha ya pamoja na dada Eunice frankie, Salome dotto na HAlima

TASABA GRADUATION CEREMONY 2011 YAFANA MNOOOOOOOOO

Sie hatuongei mengi, ni vitendo tuu, tujionelee picha za fashion show iliyosimamiwa na Sheria Ngowi na picha zinginezo zingenezo kujionelea jinsi gani watu waliipania hii siku

Designer Sheria Ngowi akiwa na...........

akipita mara baada ya fashion show kuisha kwenda kupata handshake kutoka high table...

Jescar, Oscar, Glory, Fredy na Deo...


Queen, Neema, n Blueny
Deo, Oscar, Sheria and Ntemi

The cat walk.....


Sheria na ma mamodel wake mara baada ya fashion show...


TcP estate...

Pichaz tasafali...ndivyo aonekanvyo kusema mwenye kamera

Lenny and Deo


Mara baada ya the Catwalk bin the Fashion show....


TASABA GRADUATION CEREMONY 2011 YAFANA MNOOOOOOOOO

Tusiongee mengi tujionelee pichaz za Ndani ya club kulivyokua......


Batasamu kwa kwenda mbele tuu

Rais wa Tasaa Hamisi fupi akiwa na Tasaba Captain Fred na Big joe


Yaani ambao hawakufurahia hii siku walikua na yao mambo ya moyoniiii....loh furaha tupu ilikua
Watu walipendeza bwana asikwambie mtu

Walipendeza na kupendeeeeeeeeeeezzzzzzzzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


TAARIFA ZA MSIBA

UONGOZI WA TASABA, unasikitika kutangaza msiba wa baba yake Gloria Nelson Sombi, kilichotokea usiku wa kuamkia jumanne tarehe 5 april, nyumbani Tanzania.
Msiba utakwepo nyumbani kwa mfiwa na jumanne april 5 kutakuwa na ibada/misa na sala fupi nyumbani kwa mfiwa Tc Pallya ( Karibu na Garden City College) Vinayaka Layout saa kumi jioni.
(Jengo la kina Ebeneza na Elinazi na Yonna kwa wanaowafahamu)
Tunawaomba tushirikiane kwenye kipindi hichi kigumu kumfariji mwanafunzi mwenzetu.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake Lihimidiwe.


Taarifa za Msiba

UONGOZI TASABA, unasikitika kutangaza habari za msiba wa mama yake Christine Mazula, msiba ulikwepo nyumbani kwa mfiwa Horamavu, na Mfiwa ameondoka usiku wa leo kuelekea nyumbani Tanzania kwa maziko.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!!!