Ads 468x60px

Pages

Tuesday, October 12, 2010

MITIHANI YA BANGALORE UNIVERSITY.


Mitihani ya Bangalore University inategemewa kuanza mwisho wa mwezi huu.Wanafunzi wa kiTanzania katika vyuo mabalimbali hapa Bangalore wanategemewa kufanya mitihani hiyo.Muheshimiwa Rais Jumanne Mtambalike anawaomba waTanzania kuwa makini hasa kipindi hiki cha mitihani kujiepusha na mambo amabayo yatawatia katika matatizo na kuwasababisha wasifanye mitihani yao kwa amani.Amewaomba wawe waangalifu na kuwatakia kheri katika mitihani yao Mungu awasaidie waifanye kwa umakini na wafaulu.
"wizara ya habari TASABA"

0 comments:

Post a Comment