Ads 468x60px

Pages

Monday, October 18, 2010

TASABA's FIRST GENERAL MEETING

Uongozi wa TASABA 2010 -2011, ulikutana na kufanya kikao chake cha kwanza baada ya kuchaguliwa na kuteuliwa kwa viongozi mbalimbali.

Kikao kilihudhuriwa na viongozi karibia wote,na kilifunguliwa na Katibu mnamo saa nane na nusu mchana tarehe 16-10-2010, Indo Asian College, Kamanahali.
Mambo mbali mbali ya maendeleo yalizungumziwa na kupangiwa mikakati ya namna ya kuyakabili na kuyashughulikia.

Kikao kilifungwa mnamo saa kumi alasiri na viongozi wooote kuelekea uwanjani "Banaswadi Stadium" kuishangilia timu yetu ya mpira wa miguu.

Habari zaidi zitawafikieni wanajumuiya kupitia viongozi wa Vitongoji vyenu.

Mwanzo ulikua mzuri, Mungu ibariki TASABA, Mungu tubariki WATANZANIA.
Katibu,Edna Stephen

0 comments:

Post a Comment