Ads 468x60px

Pages

Tuesday, November 30, 2010

FOMU NA VITAMBULISHO

Tunazidi kuwa sisitizia wanafunzi wa Tanzania wanaaosoma Bangalore kujaza fomu za kujiandikisha na kupata vitambulisho vya TASABA haraka iwezekanavyo ili kujiepusha na usumbufu na matatizo mbalimbali yawezayo kutokea


Tunapenda kuwakumbusha Viongozi wa maeneo mbalimbali kumaliza zoezi hilo la ukusanyaji wa fomu kabla ya December 1 tayari kwa kikao uongozi wa TASABA mwanzoni mwa December
UONGOZI TASABA

0 comments:

Post a Comment