Ads 468x60px

Pages

Monday, November 8, 2010

Uongozi wa TASABA unayo furaha kuwatambulisha wawakilishi wetu wapya wa Umoja wetu kwa FISA- B ( The Federation of International Students Association - Bangalore) wafuatao..
1.Hartman E. Masaki




2. Ms. Magdalena H. Malangalila



3. Ms. Mwamini S. Makongoro

4. Ms. Mariam Sigera

Na mwisho kabisa ni dada yetu aliyechaguliwa kuwa Joint Social Welfare Secretary wa Fisa-B ktk kipindi cha mwaka 2010-2011,kwa ushindi wa kura katika uchaguzi mkuu wa Fisa-B uliofanyika Yavanika Youth Center, tarehe 5-11-2010

5. Ms. Eunice Jacob
{Joint Social Welfare Secretary Fisa-B 2010-2011}


Uongozi Unapenda kuwashukuru wawakilishi wetu hawa,na kuwatakia mafanikio mema katika kipindi chao chote cha uwakilishi.

Mungu Ibariki TASABA,
Mungu ibariki FISA-B,
Mungu ibariki Tanzania.

The Ministry of Foreign Affairs

1 comments:

Anonymous said...

... Muheshimiwa please tunajaribu kuweka picha ambazo zimekaa kiongozi ashwa ashwa kwa dada zetu ... kama ya sister mwamini nimeipenda ... niwazo tuh

Post a Comment