Ads 468x60px

Pages

Monday, November 1, 2010

Tangazo la msiba

TASABA ina huzuni kubwa kuwatangazia kuwa kiongozi wetu wa kitongoji cha Gubi Freddy Matthias amefiwa na mama yake leo jijini Dar es salaam.Uongozi unawaomba watanzania wote tushirikiane na mwenzetu Freddy katika kipindi hiki kigumu kwa kumfariji na kumuombea pamoja na familia yake.BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIBARIKIWE

0 comments:

Post a Comment