Ads 468x60px

Pages

Monday, January 3, 2011

SALAMU ZA POLE TOKA BANGALORE.

Uongozi wa Jumuiya ya wanafuzi wa kiTanzania waishio Bangalore unatoa salamu za pole kwa ndugu zetu wa Hyderabad, kutokana na msiba wa mwenzetu Shakil Hamdoum uliotokea jana huko Hyderabad.Mwenyezi Mungu awasaidie muwe na mshikamano katika wakati huu mgumu na tunawakumbusha tupo pamoja katika kuomboleza msiba wa mwenzetu.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali peama peponi Amina.

0 comments:

Post a Comment