Ads 468x60px

Pages

Wednesday, January 5, 2011

TANGAZO

Uongozi wa Jumuiya ya wanafunzi wa kiTanzania waishio Bangalore unawataarifu waTanzania wote waishio Bangalore kuwa kuna waTanzania wenzetu wagonjwa wamekuja kutibiwa hospitali ya Appolo Bannergatha road (Bangalore) ni vizuri kuwatembelea na kuwajulia hali na wengine wapo njiani wanakuja. Kwa maelezo zaidi wasilianeni na kiongozi wa Acharya (TASAA) Hamisi Fupi (8971863126)

0 comments:

Post a Comment