Ads 468x60px

Pages

Wednesday, January 12, 2011

SALAMU ZA SIKUKUU YA MAPINDUZI TOKA KWA UONGOZI TASABA.

Uongozi wa TASABA chini ya mwenyekiti Jumanne Rajabu Mtambalike unawatakia wanajumuiya pamoja na waTanzania wote kwa ujumla ulimwengu mzima kheri ya sikukuu ya mapinduzi.Uongozi unapenda tuma salamu hizi kwa serikali ya jamhuri ya muungano ya Tanzania chini ya Mh.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar chini ya Mh. Rais Ali Mohamed Shein na kuwatakia sikukuu yenye kheri nyingi na fanaka.
Uongozi TASABA unawakumbusha wanajumuiya siku kama hizi ni muhimu kukumbuka wahasisi wa taifa letu na juhudi zao walizofanya za kuiweka nchi yetu mahali hilipo sasa.Ni Muhimu kwetu sisi kama wanajumuiya kujifunza kutokana nao na kupata dhana ya uzalendo kwenye mioyo yao.Mungu Ibariki Tanzania ,Mungu ibariki TASABA.

0 comments:

Post a Comment