Ads 468x60px

Pages

Tuesday, February 2, 2010

TAARIFA YA MSIBA


UONGOZI WA TASABA CHINI YA RAIS FIDELIS MSOMEKELA KWA MASIKITIKO MAKUBWA UNATANGAZA MSIBA WA KAKA YETU IMRAN MTUI ULIOTOKEA USIKU WA KUAMKIA TAREHE 31 JANUARI.UONGOZI WA TASABA UKISHIRIKIANA NA MJUMBE WA UBALOZI WA TANZANIA INDIA WANAFUATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA.KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NA VIONGOZI WA TASABA NAMBA ZAO A SIMU ZIPO KWENYE KICHWA CHA UKURASA HUU.MUHESHIMIWA RAIS FIDELIS AMEWAOMBA WATANZANIA KUWA WATULIVU MUDA HUU WA MSIBA NA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUHAKIKISHA TUNAMALIZA MSIBA HUU SALAMA.MSIBA HUPO KWA DADA HAKIKA
ADDRESS
3RD FLOOR
1ST MAIN
GOPALA REDDY LAYOUT
BANASWADI
BANGALORE-78
INDIA

MUNGU AILAZE ROHOYA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

2 comments:

Anonymous said...

poleni wafiwa.

Anonymous said...

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali Pema Peponi,kwani bwana Ametoa na Bwana Ametwaa jina la Bwana na liihimidiwe.Poleni sanawatanzania wenzangu ambao mpo Nchini India (Bangalore),Kuweni wavumilivu na Mingu awajaze moyo wa Imani.
Mariam

Post a Comment