Ads 468x60px

Pages

Thursday, February 4, 2010

watanzania wa bangalore ndani ya uhuzuni mkubwa siku ya kusafirishwa kaka Imran Mtui

3 comments:

Ben said...

Poleni sana kwa msiba,naomba Mungu awape faraja wana TASABA wote,watanzania India,ndugu jamaa na marafiki.Mungu aipe nguvu familia ya Imran.

Mwenyezi Mungu aipumzishe mahali pema peponi Roho ya Marehemu Imran.mbinguni ndiko kwenye makao ya Raha milele.Jina la bwana Lihimidiwe.

Anonymous said...

poleni sana kwa msiba kwa niaba ya wanafunzi wa kitaanzania wasomao nchini Misri Innallilah waina illaillahi rajuu3n
KATIBU MKUU
GHALIB

Anonymous said...

poleni ndugu zangu wa bangalore mimi nipo state ya Uttarakhand.

Post a Comment