Ads 468x60px

Pages

Sunday, February 7, 2010

TANGAZO LA MSIBA

Dada Aminata wa Acharya amefiwa na baba yake mzazi.Amesafiri leo kuelekea hyderabad ambako atakutana na mdogo wake tayari kuelekea nyumbani Tanzania kwa mazishi.Uongozi wa TASABA chini ya Rais Fidelis Msomekela unatoa pole kwa wafiwa na kuwaahidi ya kwamba tupo pamoja nao kipindi hiki cha msiba.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
address ya mfiwa ya India ni
#18
sapthagiri Nilaya,
Sampangi,
Ramaiah Layout,
Hessargata Road,
Bangalore 560073,
India.

0 comments:

Post a Comment