Ads 468x60px

Pages

Saturday, February 27, 2010

TANGAZO LA GRADUATION.

Uongozi wa serikali ya wanafunzi wa kiTanzania waishio Bangalore TASABA unawatangazia waTanzania wote wanaotegemea kumaliza kozi zao mwaka huu kuwasilisha majina yao na namba zao za simu kwa viongozi wa maeneo yao.
Viongozi wa maeneo mnaombwa muwasilishe majina hayo kwa muheshimiwa Rais haraka iwezekanavyo.Vilevile mmeombwa kuwa tayari kwa ajili ya shughuli hii kubwa wakati tunajiandaa kuandaa kikao kati ya viongozi na wanafunzi wanaomaliza ili kufanikisha jambo hili.
TASABA SPOKESMAN,
JUMANNE MTAMBALIKE.

0 comments:

Post a Comment