Ads 468x60px

Pages

Tuesday, April 5, 2011

TASABA GRADUATION CEREMONY 2011 YAFANA MNOOOOOOOOO

hamuna maneno mingi, ni picha tu kwa kwenda mbele, ceremony ilivyopendezaaa



Graduates Uthman, Salome na Mongella


Rais wa TASABA akizindua Magazine na website ya TASABA....mojawapo ya mafanikio ya TASABA katika kipindi chote cha miaka minane toka ianzishwe...

Graduate Salome akiwa na Rogers na wageni wa nchi zingine

Viongozi wa TASABA nao walipata wasaa wa kufurahi pamoja mara baada ya kazi nzito ya kuandaa shughuli hii, kama waonekanavyo Rais Jumanne, Makamu wa Raisi Professori Anase, Katibu Edna na Mwakilishi wa TASABA kwa Fisa-B na pia joint social welfare secretary bi Eunice J., wakiwa na rafiki wao wa muda mrefu

Graduate pekee tokea Tc Pallya na kiongozi wake wa huko Bwana Uthman akiwa kwenye picha ya pamoja na wasindikizaji wake bwana Oscar, Linus na Muddy


Ma graduate toka familia ya mzee Shawa, Matthias na Tom wakiwa na Ellen na Neema
Graduate Ntemi akiwa na Matthias pamoja na Rais wa tasaa bwana Hamisi fupi

Designer Sheria Ngowi akiwa na Graduate Oscar na Mc wa shughuli Professori Anase na marketin manager wa Sheria Ngowi de brand...

Graduates Tom na Ahobokile ( Mshauri wa Rais TASABA) wakiwa pamoja na kiongozi wa TASABA Kumaraswammy layout bwana Abbas pamoja na Hartman..

baadhi ya Ma Graduates wakiwa wote kwenye picha ya pamoja


Baadhi ya ma graduates wakiwa kwenye picha ya pamoja

Rais wa TASABA bwana Jumanne akiwa na mshauri wake mheshimiwa Ahobokile

Kiongozi wa TASABA wa rubudani dada Eunice Frankie akipokea nondoz yake

dada Maria "Maya" akiwa pamoja na kaka zake waliohitimu masomo yao bwana Tom na Matthias, pamoja na Mweka Hadhina wa TASABA bwana Vince pamoja na Waziri wa nidhamu bwana Simon Ph Nguma...

Kiongozi wa TASABA toka TcPallya estate Uthman akiwa katika picha ya pamoja na dada Eunice frankie, Salome dotto na HAlima

0 comments:

Post a Comment