Ads 468x60px

Pages

Tuesday, April 5, 2011

TAARIFA ZA MSIBA

UONGOZI WA TASABA, unasikitika kutangaza msiba wa baba yake Gloria Nelson Sombi, kilichotokea usiku wa kuamkia jumanne tarehe 5 april, nyumbani Tanzania.
Msiba utakwepo nyumbani kwa mfiwa na jumanne april 5 kutakuwa na ibada/misa na sala fupi nyumbani kwa mfiwa Tc Pallya ( Karibu na Garden City College) Vinayaka Layout saa kumi jioni.
(Jengo la kina Ebeneza na Elinazi na Yonna kwa wanaowafahamu)
Tunawaomba tushirikiane kwenye kipindi hichi kigumu kumfariji mwanafunzi mwenzetu.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake Lihimidiwe.


0 comments:

Post a Comment