Ads 468x60px

Pages

Tuesday, April 5, 2011

Maneno ya watu wengi yaliyobaki vinywani mwao mara baada ya mahafali..

Mr.Ravi Shanker ( the guest of honor) " Eventhough you faced some technical difficulties, you managed the situation well to ensure the well organized and programmed event goes as planned, Congratulation TASABA for all the achievements you got for this term. This is the best Graduation ceremony i have ever attended organized by students association..."

Mr. Antonio Alberto Cossa ( The chief Guest and President of FISA-B), " Congratulations Tasaba 2010-2011, u managed to organize the graduation in such a way that we enjoyed everything you had planned for us, we never wished for it to end..."

Mr. Job ( Vice President U.A.C.B), " Throughout the time i have been in India, i have never seen an event organised by students association being well organised like the TASABA GRADUATION 2011, with such committed leaders and alot of achievements"

Miss Yureshmi ( The Vice President Fisa-B), " I wish if this party never ended, because we enjoyed every single minute of it...congratulations Tasaba 2010-2011"

Mr. Deus (the former President Tanzanian students association in Tamil Nadu), "Tasaba 2010-2011 have set a standard that will never be able to be reached by any other students association not only in bangalore, but India as a whole, never expected for this association to be this organised"

Mr. Mohammed ( Chad students association President), " Congrats Tasaba 2010- 2011, i never expected such a wonderful program..."

Mr. Krop (Kenyan students association) , " i wish if i can get such committed leaders in my association because the whole event shows how team work can pull off event nzuri kama hiii, sisemi maneno mob, hongereni sana TASABA"

Mr. Dawood ( FISA-B treasurer) , " I had such a quality time with my Tanzanian Friends, i learnt even how to dance Tanzanian songs, everything was well handled by TASABA, congrats."

Designer Sheria Ngowi, " Aiseeee sikuamini macho yangu kwa jinsi Tasaba mlivyokua mmejipanga, kila kitu kilikua bomba mbaya, venue ilikua nzuri, mziki mzuri, ceremony ilipelekwa vizuri, fashion show ilienda vyema, watu walipendeza, na walikua wengi mnoooo, sikutarajia aisee yaani tasaba ya mwaka huu mmefanya kazi nzuri sana, hii iwe mojawapo ya mafanikio yenu ya mwaka mzima...hongereni sana wadogo zangu"

Watu toka Mysore, "sasa Tasaba, nyie mmemaliza kila kituuuuu, sie tutafanya kitu gani kipya?haya bwana tumewavulieni kofia aiseee mwaka huu mlijipanga vyema."

Graduate Salome, " Asanteni Tasaba kwa kunipendezeshea siku yangu ya mahafali,sikutegemea iwe nzuri vileee"

Graduate Ally, "Well done viongozi wa Tasaba, graduation ilikua nzuri sana."

Graduate Halima, " asanteni uongozi wa Tasaba kwa ujumla, shughuli yetu ilikua nzuri kupita maelezo"

Graduate Oscar, " aisee viongozi hivi ile 1700rs yetu ilitosha kweli?mbona shughuli yetu ilikua nzuri hiviiii??"

Graduate Freddy, " Mie nilijipanga kwa ajili ya graduation yangu lakini nilikuja kuta TASABA 2010-2011 ilijipanga vyema zaidi, kazi nzuri sana."

Tasaa President Hamisi Fupi, " Aisee viongozi napenda kuwapongeza kwa shughuli nzuri mno, yaelekea mlijipanga vyema na vilivyo, Hongereni sana na poleni"

Ugandan Representatives, " You Tanzanians are well organized, we wish if we could reach your standards, today's event was superb"

Abbas , " Ukumbi tuuuuu, ulitosha kupendesha shughuli yooote, na jinsi mlivyojipanga ndio mkawamaliza watanzania woote.kazi nzuri Tasaba."

Dj Charlie, " You guys did a nice work, the ceremony went wll, de food was awesome and the music finished everything....have never seen somethin similar to this here in India."

Dj Prezoo, " Ehh bwana kazi ilikua bomba mnooooo mziki ulikua sio wa kitoto"

Graduates wengi walisemaaaaaa, " ama kweli hela yetu ilienda freeeeehs wala hatudai chenji hata kidogo, labda tuambiwe tunadaiwa sisi, asanteni uongozi kwa kufanikisha shughuli yetu vyema"

2 comments:

Anonymous said...

hongereni..graduation was good. bt we expected a cake and ther was no cake, na viti vya graduates havikupangiliwa vizuri. ope next uongozi wl rectfy thz.

Anonymous said...

congtats to all tasaba leaders kwa kazi nzuri mlioifanya na poleni kwa kazi ngumu coz mlitumia mda wenu akili na nguvu zenu hii yote ni kutaka mambo yawe mazuri i have never seen before viongzi wengine igeni basi uongozi huu kwa kazi waliofanya all in all tunamshukuru Mungu kila kitu kilieenda sawa hongereni graduate wote 2010-2011 na best of luck in ur coming finals

Post a Comment