Ads 468x60px

Pages

Tuesday, November 24, 2009

BRAVE QUESTIONS CLEVER ANSWERS........

THE BBC INTERVIEW BETWEEN STEPHEN SUCKER AND RWANDA PRESIDENT MR.PAUL KAGAME
we will like you to send us our comment about this interview at mtambalike@yahoo.co.uk

Monday, November 23, 2009

MADARAKA SIYO MCHEZO.


Wananchi wa kijiji cha mkunya wilaya ya Newala wakimuomba muheshimiwa waziri mkuu asimame na msafara wake awasikilize ungekuwa wewe ungefanya nini............

EAST AFRICAN COMMUNITY


Kigali — President Paul Kagame handed over the chairmanship of the East Africa Community (EAC) to his Tanzanian counterpart, Jakaya Kikwete, and described the regional bloc as "much stronger, larger and more united."

The ceremony, which took place in Arusha, Tanzania, also saw the five EAC Heads of State sign the Common Market Protocol.

The President hailed his fellow Heads of State, the leaders of EAC organs, and all the people for the support they accorded Rwanda as it carried out its duties as of chair the EAC.
He told a huge audience at the Arusha International Conference Centre (AICC) that what stood out as the most important engagement during his term of office as EAC chairperson was the high level negotiations on the draft protocol for the establishment of the common market.

He said that the signing of the protocol marked the passing of a region of individual states competing with each other and welcoming a new East Africa of common interest and aspirations.

"The responsibility rests on us as partner states to ensure that this protocol is ratified as early as possible to enable the Common Market to come into force from the first of July 2010 as planned," he said.

With the signing of the protocol and its eventual ratification, professionals, services and capital owners will now be able to move freely in the five partner states of the bloc.

The President added that the level of preparations towards a fully fledged Customs Union had advanced considerably, emphasizing that it is important that national policies are aligned in order to make the union a meaningful success.

"We face a number of challenges, in this respect, not least revenue loss. Our short-term concern is how to mitigate this loss through financial compensatory mechanisms," the President noted.

"We need, therefore, to continue working hard to implement the agreed practical measures required to achieve a fully fledged Customs Union in the timeframe we have set for ourselves," he added.

On defence and cooperation, Kagame said that there has been collaboration aimed at deepening defence cooperation, and hinted at the joint military exercises that were conducted among regional armies.

"When the people of East Africa see our armed forces cooperating closely on the ground, the benefit of this community for their fundamental needs, such as security, becomes very real," he said.

In his acceptance speech, Kikwete, the incoming Chairperson of the EAC Heads of State summit commended President Kagame for his exemplary leadership, stating that the EAC has become much stronger since Rwanda took over its chairmanship and promised to emulate his predecessor's example.

The EAC Heads of State later laid the foundation stone and planted commemoration trees at the 9.85 hectare site where the EAC headquarters will be built.

After a heavy downpour, the Presidents proceeded to Arusha's Shekh Abedi Karume Stadium for celebrations to mark the 10th Anniversary of the signing of the EAC Treaty.
please send us your comment on this story at mtambalike@yahoo.co.uk

Thursday, November 19, 2009

TASABA

MANENO YA HEKIMA
Blogu ya TASABA itakua ikiwaletea kumbukumbu mbalimbali za viongozi na mashujaa wa taifa letu TANZANIA kuanzia tunaanza na baba wa taifa letu Mwl.Julius Kambarage Nyerere

TANGAZO LA SEMINAR YA NOKIA FORUM


Watanzania ambao wapo katika mchepuo wa sayansi na teknolojia wanatangaziwa kwamba kutakua na seminar ambayo imeandaliwa na kampuni ya nokia kwa ajili ya wanafunzi na wafanyakazi.kiinglio ni rupia 750.Tujitahidi tuhudhurie kwa ajili ya faida yetu sisi wenyewe.
Taj Residency, Bangalore
41/3, Mahatma Gandhi Road
Bangalore 560 001
Karnataka
India
Tel: (91-80) 6660 4444
Fax: (91-80) 6661 4444
Email:residency.bangalore@tajhotel.com
piga simu hizo namba kwa maelezo zaidi,tafadhali piga kabla ya tarehe 14 kama unataka kuhudhuria

Wednesday, November 18, 2009

2nd International Conference On Doing Business In India


WATANZANIA MNAOSOMEA MASWALA YA UCHUMI NA BIASHARA KONGAMANO HILI LINA WAHUSU.

Event Profile
The 2nd International Conference on "Doing Business In India" is being organized by Centre for Developmental Education, IFIM Business School, Bangalore. It will attract many reputed individuals from IT and IT Enabled Services (ITES), Small and Medium Enterprises (SMEs), Education, Business Process Outsourcing (BPOs), infrastructure and other related sectors. The conference will provide an excellent forum for academicians, management scholars and practitioners to discuss various challenges to set up a business in India and to get aware of the current scenario in Indian market. The 2nd International conference on Doing Business In India will focus on a number of topics such as marketing, CRM, finance, economics, human resource, corporate governance and business ethics, information technology, entrepreneurship, knowledge management, cross cultural management, comparative studies on India with other economies and other associated areas.

Visitor Profile
The targeted visitors at the 2nd International Conference On Doing Business In India 2009 are:
Academicians, Research scholars and students from India and abroad, Consultants/ Bureaucrats, Management Practitioners from the corporate and public sector, Entrepreneurs, etc.

start date:17-Dec-2009
end date:18-Dec-2009
venue: IFIM BUSINESS SCHOOL
city:BANGALORE
country:INDIA

FOMU ZA TASABA


Uongozi wa TASABA chini ya Rais Fidelis Msomekela na katibu Aldo Kamugisha unapenda kuwasisitiza viongozi wa maeneo juu ya ukusanyaji wa fomu za kujiandikisha uanajumuiya wa TASABA.Fomu hizi ni muhimu tunaomba zilidushwe haraka iwezekanavyo ili tuweze kuendelea na majukumu mengine tuliyo pangiana ikiwemo na kutoa vitambulisho vya TASABA.Akizungumza na watanzania Mh.Fidelis Msomekela amewaomba watanzania wazirudishe fomu hizi kwa viongozi wao wa maeneo hili kurahisisha zoezi hili.

MITIHANI YA BANGALORE UNIVERSITY


Uongozi wa TASABA chini ya Rais Fidelis Msomekela unapenda kuwapa kheri ya mtiani watanzania wote ambao wanaingia kwenye mtihani mwishoni mwa wiki hii.Uongozi wa TASABA unawasihi watanzania kuwa makini kipindi hiki cha mitihani kutojihusisha na mambo ambayo yatawatia matatizoni na wajitahidi wamalize mitihani yao kwa amani na utulivu.MUNGU wabariki watanzania wanaofanya mtihani mwezi huu Amen.

Tuesday, November 17, 2009

TOVUTI YA TASABA HIPO JIKONI


Tovuti ya jumuiya yetu ya watanzania waishio Bangalore hipo jikoni na inategemewa kwenda hewani mwishoni mwa mwezi wa February au mwanzoni mwa mwezi wa Aprili.Akiyazungumza hayo mzungumzaji mkuu wa TASABA Mh.Jumanne R Mtambalike alisemakuwa TASABA wanayofuraha kuwaambia watanzania kwamba kazi inafanyika na wanaamini itamalizika ndani ya muda muhafaka.Ameomba watanzania mbalimbali wenye mawazo yao wasisite kuwasiliana na uongozi wa TASABA na yeyote atakayependa kuchangia mawazo yake kwa namna moja au nyingine au kuwepo kwenye timu nzima ya watengenezaji wa website hii asisite kumpigia simu msemaji mkuu

Thursday, November 12, 2009

SHUKRANI KWA WATANZANIA

Uongozi wa TASABA chini ya Rais Fidelis Msomekela ungependa kutoa shukrani zao za dhati kwa watanzania wote waliojumuika katika msiba wa ndugu yetu ABBAS JUMA SIMKOKO,aliyefiwa na baba yake mzazi Mzee JUMA SIMKOKO.Uongozi unashukuru kwa umoja na mshikamano mliouonyesha kipindi chote cha msiba huu.Mungu ailaze roho ya marehemu mzee wetu Mzee JUMA SIMKOKO mahali pema peponi, Amina.

Wednesday, November 4, 2009

MKUTANO MKUU WA TASABA





TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA TASABA
Ndugu Watanzania muishio Bangalore tunawataharifu kwamba serikali yenu ya TASABA imekaa kikao chake kikuu cha kwanza leo tarehe 8 novemba 2009 maeneo ya Hennur saa saba mchana.Agenda za kikao.
-Fomu za uanachama TASABA.
-Mashindano ya soka yanayokuja ya kimataifa ya bangalore
-vitambulisho.
-kutambulisha baraza la mawaziri pamoja na viongozi wa maeneo.
-Sherehe ya kuikaribisha serikali mpya na mapumziko ya mitihani.
-seminar mbalimbali za kielimu zinazoandaliwa bangalore.
-TASABA blogsite and TASABA website.
-TASABA magazine.
Mkutano mkuu unaofuata utakua TAREHE 10 JANUARY 2010 ili tufanikishe haya na mengine mengi tunahitaji michango yenu ya hali na mali hasa kimawazo.
Hivyo basi kama kuna maswali au michango usisite kutuma mchango wako kupitia.

mtambalike@yahoo.co.uk
phone no:+919901837490
TASABA Spokesman,
Jumanne R Mtambalike.
-

MTAZAMO WA WANAJUMUIYA JUU YA UONGOZI MPYA WA TASABA






MAONI YA MUHESHIMIWA RAIS MSTAAFU BARAKA ABDALLAH KANGE JUU YA UONGOZI MPYA.

"Ahsanteni.
Nimatumaini yangu kuwa baraza hili lililotangazwa na uongozi huu wa 2009/2010 chini ya Ndugu rais Fedelis Msomekela litaendeleza yale mazuri yaliyoachwa na uongozi uliopita,akinipigia simu kunijulisha hilo ndugu rais nilimwambia tunahitaji mudumishe umoja uliopo kati yetu sisi waTanzania wa Bangalore,
nawapongeza kwa baraza lenu zuri, mimi limenipa imani kwamba waliochaguliwa watawajibika vizuri sana katika kazi zao,niwapongeze kwa hilo kwanza.
Baraza limezingatia kanuni za jumuiya yetu ya Tasaba tokea ilipoanzishwa 2002 chini ya uongozi wa Ndugu rais Onesmo,napia naamini litaendeleza yale mazuri yaliyofanywa na awamu zote tatu,ya kwanza ya rais mstaafu ndugu Onesmo,ya pili ya rais mstaafu Ndugu Policarp Ndekana,ya tatu ya rais mstaafu Baraka Abdallah Kange na hii ya nne ya ndugu rais Fedelis Msomekela.
mimi nimekalia kiti hicho kwa muda mrefu,nafahamu ugumu wa kuongoza jumuiya kubwa kama hii yetu hapa Bangalore,ndugu yangu Aldo kamugisha unawajibu mkubwa sana kuhakikisha viongozi wa chini yako hawakuangushi katika utekelezaji wa kazi zenu,wakikusumbua.... wewe huna ubia nao,wawajibishe tu.
nitatoa ushirikano wangu wote kwenu,nikiamini katika misigi ya wakombozi wetu kama Marehemu Mwlm Julius Nyerere,marehemu Sheikh Abeid karume, marehemu mzee Shaaban Robert na wengine wengi.
niwatakie kila la kheri katika safari yenu ndefu mlioianza hivi kariburi,ninasema safari njema.....huwa inanipa shida sana kusema abiria mmoja akioza wote wameoza..ah ah huwa siamini katika hilo pia huwa mimi sisemi msafiri kafiri bali huwa nasema msafiri kakiri.
nikiwa namalizia kutoa maoni yangu nimepokea simu kutoka Mysore rais mstaafu Ritha Chokala akiniambia habari za wenzetu huko,nimemwambia tuko pamoja katika hilo...sisi kama waTanzania,amenihakikishia ushikrikiano wa kutosha katika uongozi mpya wa Bangalore 2009/2010.

aluta contineour....
"

MTAZAMO WA WANAJUMUIYA MBALIMBALI JUU YA UONGOZI MPYA.

Sancho Samuel,Dayandasagar College "kwa hali ninavyoiona naamini tutafika na serikali yetu mpya nachoomba iwe ya uwazi na ukweli"

Reward Elias,Dayanandasagar College "kazi inafanyika tujitahidi tuwasaidie viongozi wetu"
kama una maoni au maswali juu ya uongozi mpya tuma mtambalike@yahoo.co.uk

MAJINA YA VIONGOZI WAPYA WA TASABA

Ndugu watanzania majina ya viongozi wetu wapya yametoka,Hivyo basi tunahitaji ushirikiano wenu katika kuwatambua viongozi hawa, na kuhakikisha tunashirikiana nao kwa namna mmoja au nyingine ili tuweze kufikia malengo yetu.Mungu ibariki TASABA, Mungu ibariki Tanzania.
spokesman
JUMANNE MTAMBALIKE.


(TASABA) BARAZA LA MAWAZIRI

WIZARA YA UTAMADUNI
Mercy Morland - Waziri
Mwamini Makongoro – Naibu waziri

WIZARA YA MAHUSIANO YA KIJUMUIYA
Deogratias Asael - Waziri
Ernest Mutatembwa – Naibu waziri

WIZARA YA MICHEZO
Abdallah Aboubakar - Waziri
Esther Bgoya – Naibu waziri

WIZARA YA HABARI NA MAMBO YA NJE
Jessica Gonsalves - Waziri
Ahobokile Mwakyusa – Naibu waziri

WIZARA NIDHAMU NA MAADILI
Simon Nguma - Waziri
Alice Kazoba – Naibu waziri

WIZARA YA ELIMU
Mushobozi Baitani - Waziri
Anase Stephen – Naibu waziri

WASAIDIZI WA HAZINA
Hartman Msaki – Afisa mwandamizi
Olais Alexander – Afisa mwandamizi



VIONGOZI WA VITONGOJI

1. TC PALLYA: Anase Stephen

2. BANASHANKAR: Nuru Omary

3. HENNUR: Ali Othman Mohamed

5. BANASAWADI: Suesan Odrianp

6. ACHARYA: Charles Kanimba

7. BUPSANDRA: Kaijunga

8. INDIRANAGAR: Aneth

9. KAMMANAHALLI: Amir Hassan

UJIO WA FULANA ZA TASABA


..ujio wa fulana za tasaba ziko njiani.. jiandaeni kwa ujio huo.. fulana ni za ukweli.. kwa madadazzzz na makakazzzz.. full kujiachia ndani ya pambazzz....
kwa maelezo zaidi wasiliana na:-
CHIEF EDITOR HARTMAN "KING" 9916 780 558...
SECRETARY ALDO ALDOLEC 9742 487 082...
MASTER MIND MUTTA 9886 843 479...