Ads 468x60px

Pages

Thursday, November 12, 2009

SHUKRANI KWA WATANZANIA

Uongozi wa TASABA chini ya Rais Fidelis Msomekela ungependa kutoa shukrani zao za dhati kwa watanzania wote waliojumuika katika msiba wa ndugu yetu ABBAS JUMA SIMKOKO,aliyefiwa na baba yake mzazi Mzee JUMA SIMKOKO.Uongozi unashukuru kwa umoja na mshikamano mliouonyesha kipindi chote cha msiba huu.Mungu ailaze roho ya marehemu mzee wetu Mzee JUMA SIMKOKO mahali pema peponi, Amina.

0 comments:

Post a Comment