Ads 468x60px

Pages

Tuesday, November 17, 2009

TOVUTI YA TASABA HIPO JIKONI


Tovuti ya jumuiya yetu ya watanzania waishio Bangalore hipo jikoni na inategemewa kwenda hewani mwishoni mwa mwezi wa February au mwanzoni mwa mwezi wa Aprili.Akiyazungumza hayo mzungumzaji mkuu wa TASABA Mh.Jumanne R Mtambalike alisemakuwa TASABA wanayofuraha kuwaambia watanzania kwamba kazi inafanyika na wanaamini itamalizika ndani ya muda muhafaka.Ameomba watanzania mbalimbali wenye mawazo yao wasisite kuwasiliana na uongozi wa TASABA na yeyote atakayependa kuchangia mawazo yake kwa namna moja au nyingine au kuwepo kwenye timu nzima ya watengenezaji wa website hii asisite kumpigia simu msemaji mkuu

1 comments:

Anonymous said...

Nawapa hongera kwa kuanzisha blog yenu wenzetu mlio huko ughaibuni, hilo ukweli litatufanya hata sisi tulio huku bongo kujua mawili matatu yanayojiri huko. Katika ujumbe mliouweka hapo juu yaani TOVUTI YA TASABA HIPO JIKONI, naona kama mmekosea neno moja...ingefaa isomeke TOVUTI YA TASABA IPO JIKONI au sio jamani? Wakatabahu - Mdau wa Kinyerezi, Bongo.

Post a Comment