Ads 468x60px

Pages

Wednesday, November 18, 2009

FOMU ZA TASABA


Uongozi wa TASABA chini ya Rais Fidelis Msomekela na katibu Aldo Kamugisha unapenda kuwasisitiza viongozi wa maeneo juu ya ukusanyaji wa fomu za kujiandikisha uanajumuiya wa TASABA.Fomu hizi ni muhimu tunaomba zilidushwe haraka iwezekanavyo ili tuweze kuendelea na majukumu mengine tuliyo pangiana ikiwemo na kutoa vitambulisho vya TASABA.Akizungumza na watanzania Mh.Fidelis Msomekela amewaomba watanzania wazirudishe fomu hizi kwa viongozi wao wa maeneo hili kurahisisha zoezi hili.

0 comments:

Post a Comment