Ads 468x60px

Pages

Wednesday, November 4, 2009

MKUTANO MKUU WA TASABA





TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA TASABA
Ndugu Watanzania muishio Bangalore tunawataharifu kwamba serikali yenu ya TASABA imekaa kikao chake kikuu cha kwanza leo tarehe 8 novemba 2009 maeneo ya Hennur saa saba mchana.Agenda za kikao.
-Fomu za uanachama TASABA.
-Mashindano ya soka yanayokuja ya kimataifa ya bangalore
-vitambulisho.
-kutambulisha baraza la mawaziri pamoja na viongozi wa maeneo.
-Sherehe ya kuikaribisha serikali mpya na mapumziko ya mitihani.
-seminar mbalimbali za kielimu zinazoandaliwa bangalore.
-TASABA blogsite and TASABA website.
-TASABA magazine.
Mkutano mkuu unaofuata utakua TAREHE 10 JANUARY 2010 ili tufanikishe haya na mengine mengi tunahitaji michango yenu ya hali na mali hasa kimawazo.
Hivyo basi kama kuna maswali au michango usisite kutuma mchango wako kupitia.

mtambalike@yahoo.co.uk
phone no:+919901837490
TASABA Spokesman,
Jumanne R Mtambalike.
-

1 comments:

WEBTECHJR said...

jamani tujitahidini tuhudhurie seminar kama hizi zinajenga

Post a Comment