Ads 468x60px

Pages

Wednesday, November 18, 2009

MITIHANI YA BANGALORE UNIVERSITY


Uongozi wa TASABA chini ya Rais Fidelis Msomekela unapenda kuwapa kheri ya mtiani watanzania wote ambao wanaingia kwenye mtihani mwishoni mwa wiki hii.Uongozi wa TASABA unawasihi watanzania kuwa makini kipindi hiki cha mitihani kutojihusisha na mambo ambayo yatawatia matatizoni na wajitahidi wamalize mitihani yao kwa amani na utulivu.MUNGU wabariki watanzania wanaofanya mtihani mwezi huu Amen.

0 comments:

Post a Comment