Ads 468x60px

Pages

Thursday, January 21, 2010

KUMRADHI.

Uongozi wa TASABA unapenda kuwajulisha kwamba taarifa ya bwana IDDI SIWA ya ajali iliyotolewa kwenye blog hii siku chache zilizopita ilikosewa kidogo.Maelezo yaliyotolewa kuhusu makazi ya mhanga wa ajali bwana Iddi Siwa yalikosewa.Bwana Iddi Siwa anakaa Horamavu na sio Hennur.Matatizo haya yametokea kwa sababu mhanga wa ajali alikuwa ajitambui kipindi chote cha ajali na hivyo watu wa kwanza kujitokeza na kumtambua walisema anakaa eneo hilo.Samahani kwa usumbufu wote uliojitokeza.Mungu amsaidie muanga wa ajali aweze kupona mapema Ameen.

0 comments:

Post a Comment