Ads 468x60px

Pages

Tuesday, January 12, 2010

TANGAZO:MATOKEO YA BANGALORE UNIVERSITY YAMETOKA


kwa wanafunzi amabao wanasoma chini ya Bangalore University matokeo kwa baadhi ya faculty mbalimbali za Bangalore University yametoka tembelea tovuti ya www.schools9.com
kuangalia matokeo yako.

1 comments:

Anonymous said...

Hongereni viongozi na wanafunzi wote wa Kitanzania mnaosoma Bangalore kwa kuweza kuendeleza TASABA chama ambacho mimi ni miongoni mwa waasisi wake miaka ya 2001 tukiwa na Aboud Jumbe. Poleni na misukosuko yote mnayokumbana nayo......Abdurabi Tambwe

Post a Comment