Ads 468x60px

Pages

Thursday, January 28, 2010

TANGAZO LA MKUTANO

TASABA inawatangazia viongozi wote wa umoja wa wanafunzi wa kitanzania waishio Bangalore ya kwamba kutakua na kikao cha wawakilishi wa wanajumuiya pamoja na mawaziri wa wizara mbalimbali zilizo chini ya TASABA. Mkutano utafanyika siku ya Jumapili tarehe 31 januari nyumbani kwa mzungumzaji wa TASABA Mh.Jumanne R Mtambalike.

MAHALI.
LANDMARK:DAYANANDASAGAR COLLEGE.
NEAR & OPP GAANA RESIDENCY
PIPELINESIDE,KUMARASWAMY LAYOUT,
BANGALORE 78,
INDIA.


MUDA: SAA NANE MCHANA

AGENDA ZA KIKAO
-UTOAJI WA VITAMBULISHO VYA WANAJUMUIYA
-TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA MWEZI DESEMBA
-UJENZI YA WEBSITE YA TASABA
-MENGINEYO
Ukipata taarifa hii tunaomba umfikishie kiongozi yoyote wa eneo lako kufika kwake ndio mafanikio ya kikao hiki.Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki TASABA.

0 comments:

Post a Comment