Ads 468x60px

Pages

Friday, January 15, 2010

TANGAZO

NDUGU YETU SAIDI SIWA wa Hennur mwisho wa barabara ya RingRoad amepata ajali mbaya sana ya pikipiki jana usiku,mpaka muda huu yupo hospitali ajitambui hivyo uongozi wa TASABA unawaomba watanzania wote waishio Bangalore tumuombee mwenzetu aweze kupona mapema na harudi katika shughuli zake za kila siku.Vilevile tumeombwa tumtembelee hospitalini ambako amelazwa.Mh Rais wa jumuiya amewaomba watanzania kuwa waangarifu wanapokua barabarani na kusisitiza tusiendeshe pikipiki tukiwa tumelewa.Ingawa atujapata chanzo rasmi cha ajali hiyo.
ADDRESS YA HOSPITALI:
Hosmat Hospital,
Near by Garuda Mall,
Brigade
Bangalore
India

3 comments:

Mr.Pius Joseph said...

Poleni Kwa ajali ya Mwanachama mwenzenu hapo Bangalore.Pia nakupongezeni kwa kuji-organise vema mkiwa huko nji za watu mkiwa mmeshikamana kwa utanzania wenu.Ila tuwe waangalifu kwa kila jambo litakalowafanya msifikie malengo yenu ya Shule au maisha kwa ujumla hasa mkiwa huko ugenini.

President wa TASABA Namfahamu mimi binafsi niliishi naye hapo Survey-Dar.Ni kijana Mzuri mwenye busara.Nawatakieni kila Lakheri mi niko University of Dodoma kama Staff katika Administration.Nimefurahia Blog yenu ambayo nimeipata kutoka link ya MICHUZI Blog ya hapa Bongo.email yagu ni pmn_j@yahoo.com (+255754569859).Bye

I am Mr.Pius

Anonymous said...

poleni sana ndugu zanguni. nataka kukushaurini kutumia lugha yetu vizuri hasa katika mtandao. makosa katika post hii ni kama mlipoandika harudi badala ya arudi na atujapata badala ya hatujapata.

Anonymous said...

Mh Rais jina la mgonjwa limekosewa sio Said Siwa ni Iddi Siwa, na sio mkazi wa Hennur ni mkazi wa Horamavu. Naomba tuwe makini kwenye kutoa taarifa kama hizi na tujitahidi kufanya uchunguzi kabla ya ku-post habari.

Post a Comment