Ads 468x60px

Pages

Tuesday, January 12, 2010

TASABA CUP KATIKA PICHA

muheshimiwa rais Fidelis Msomekela kwenye picha ya pamoja na wachezaji baada ya kuwapongeza kwa shughuli nzito waliyofanya ya kutetea taifa lao la Tanzania.

Mh.vice president Angela Tungaraza akiongoza kikosi cha madada kuishangilia timu yao ya Tanzania......................

maneno ya hekima wakati wa half time .....................

striking force ya waatanzania kaka Dullah na mtaalamu Fred wakijiandaa kufanya maangamizi kwa timu ya upinzani

Timu ya watanzania waishio Bangalore katika picha ya pamoja muda mchache kabla mechi kuanza.............

Vijana wa timu ya watanzania waishio Bangalore wakipata maelezo ya mwisho kutoka kwa mkuu wa kamati ya ufundi Mh.Lewis Ndaalo muda mfupi kabla ya mechi yao na timu ya Basha Stars timu ya umoja wa nchi zinazozungumza kiarabu.Tanzania ilitoka kifua mbele kwa kushinda goli mbili bila.

0 comments:

Post a Comment