Ads 468x60px

Pages

Monday, February 21, 2011

MASHUJAA WETU TOKA GARDEN CITY COLLEGE


hawa watatu ndio mashujaa wetu toka garden city college ambao timu yao iliweza ibuka kidedea katika mashindano ya mpira wa miguu ya FISA-B, bwana Kainkwa Luseko, Abuu na Uthman Yunus ambapo Abuu alifunga goli la mwisho la mashindano hayo.
Katika Picha hii wakiwa pamoja na Mweka Hadhina wetu ndugu Vince Nkini mara baada ya kukabidhiwa vikombe na zawadi zao za ushindi

1 comments:

Anonymous said...

sasa tutajitahidi kuleta ushindi kwa team yetu ya tanzania...

Post a Comment