Ads 468x60px

Pages

Wednesday, February 23, 2011

MAZOEZI YA TIMU YETU YAENDELEA VYEMA


Viongozi wa TASABA wakiwa pamoja na viongozi wetu wa timu bwana Jerome na Big Willy mara baada ya mazoezi ya timu.

Wachezaji wakiwa hoi wakijadiliana mawili matatu mara baada ya mazoezi yao




makapteni wakiwa pamoja na mkuu wa nidhamu






Wa Tanzania walijitokeza kwa wingi pia kutazama mazoezi ya timu yao na kuipa moyo kuanzia mwanzoni.

Timu yetu ya Tanzania yaendelea vyema na mazoezi yake kujiandaa na mashindano ya "TASABA CUP OF AFRICAN NATIONS" ambapo jana kwa mara ya kwanza wa Tanzania wote walioko Bangalore kutoka kona zote za bangalore walikutana viwanja vya Banaswadi na kufanya mazoezi babu kubwa kama ionekanavyo kwenye picha mbali mbali.

Wapinzani wetu wakae mkao wa kuja kufungwa tu, lazima wapoteane uwanjani.

Mungu ibariki timu yetu.


NB: UONGOZI WA TASABA UNAWASHUKURU WACHEZAJI WOTE KWA MOYO WAO WA KUJITOLEA NA UNATUKANA NA TIMU NZIMA PAMOJA NA UONGOZI YAKE SIKU YA IJUMAA VIWANJA VYA BANASWADI KAMA UONGOZI ULIVYOPENDEKEZA

3 comments:

kilinyepesi said...

kuna tatizo moja ya kurekebisha kwenye blog yenu,swala la size ya picha jaribuni kuziweka kuwa kubwa.....hope u wl correct it as soon as possble...

Anonymous said...

tatizo la picha kua size ndogo ni kubwa na lina hitaji ufubuzi waharaka!!! kwakweli linafanya blog inakosa mvuto kabisa..tafadhali jitahidini kurekebisha mapema ipasavyo.

Anonymous said...

asanteni sana kwa ushauri wenu mzuri braza Amani na uliyefuatia,uongozi na idara yake ya habari utalifanyia kazi haraka iwezekanavyo.

UONGOZI TASABA!!

Post a Comment