
Monday, March 28, 2011
Monday, March 21, 2011
WANAFUNZI WA ST.GEORGE COLLEGE OF MANAGEMENT WAFANYA STUDY TOUR INDIA..
Wanafunzi wa kozi mbalimbali katika chuo cha St. George, Banaswadi, Bangalore wakiwemo wa Tanzania wanne ambao ni manaibu waziri wa TASABA wa Jamii na Burudani Bwana Jerome na bi Eunice Frankie, beki wetu wa kutumainiwa wa Tasaba Football team bwana Ima Paul na bibie Jescar..., walifanya safari ya kimasomo kutembelea miji mbali mbali India ambako waliweza kujionea vitu vingi, kutalii na kujifunza vitu vingi mno ambavyo wanaweza kwenda vitumia katika maeneo yao ya kazi pindi watakaporudi nyumbani mara baada ya masomo yao.
Walipata tembelea miji ya Pune, Mumbai na Goa wakiwa na walimu wao.
Walipata nafasi adimu za kuona sehemu za vivutioa kama The Mumbai gates, the Taj hotels, Viwanda vya Cocacola, Steel and metal industries na kiwanda cha Bia na maji cha Kingfisher.



TASABA GRADUATION CEREMONY 2011
TASABA GRADUATION CEREMONY 2011
Well we have waited for so long, now the day is approaching , when All Afircans in Bangalore will come and join us Tanzanians in Bangalore as when we will be celebrating the achievements of our dear brothers and sisters who will be graduating....
The official graduation ceremony will start and later on will be followed with the performances and fashion shows, buffet dinner for everyone and later on we will all get atleast 5 hours to just dance, dance and dance to be happy on this memorable day....

as you can see there will be alot of students who will be awarded on this day...
TASABA GRADUATION CEREMONY 2011

After the Official function and dinner, Dj Noah (spoilt Dj) from Acharya, Dj Prezzo from Mysore and Dj Charlie from Nairobi Kenya will host a clubbin party til 2am (midnyt) ........
You cant find any excuse to miss this special day of our dearly brothers and sister...
Lets all be there to celebrate their achievements.
Thursday, March 17, 2011
TASABA GRADUATION CEREMONY 2011

Ndugu wahitimu wa Tanzania wa mwaka 2011 katika vyuo mbalimbali hapa Bangalore, kufuatia maombi ya baadhi ya wahitimu, tarehe ya mwisho ya kukusanya michango yenu ya Mahafali ya TASABA kwa mwaka 2011, imesogezwa mbele mpaka tarehe 19 april 2011.
Ili kufanikisha shughuli yetu hii, tunaomba ushirikiano wenu wa hali ya juu.
Tukalipie kwa aliye karibu nasi kati ya :
Vince +919731955664 - Kamanahali and Banaswadi
Vivian +919945325306 - Indranagar
Ali +919916377634- Hennur
Abbas +919739440581 - Kumaraswammy
Olaki +919916856778- Koramangala
Uthman +919916492252- TcPallya
Mazin +919886965506- Horamavu
Aldo +919742487082 - Acharya
UONGOZI TASABA
This is for all our young brothers and sisters doing their final P.U.C Exams at the moment


We would like to wish you all, best of luck in your exams..


We would like to wish you all, best of luck in your exams..
Do not panic, pray to your God and take the exams so seriously, they will be like your ladder towards reaching the goals of your life...So alongside with the exams wishes, we would like to wish you all a happy n prosperous future!!
Hakuna kulala, Tuko pamoja kimawazo na kwa sala..
ALL THE BEST!!!
UONGOZI TASABA
NB:
baada ya kazi nzito ya exams na kumaliza masomo, tukumbuke kazi huambatana na dawa, tukutane The Country Club tarehe 2 aprili kusherehekea mafanikio yenu katika Tasaba's Graduation Ceremony 2011, ambapo kwa mara ya kwanza katika historia, nanyi mwapata nafasi ya kusherehekea na wenzenu wote wamalizao masomo Bangalore.
KAZI NA DAWA!!
Tuesday, March 15, 2011
TASAA GRADUATION 2011

ACHARYA EAST AFRICAN GRADUATION CEREMONY ORGANIZED BY TASAA .IT LL START MORNING 9;00AM UP TO 1:30PM 2 @ACHARYA COLLEGE CAMPUS IN MBA AUDITORIUM , THEN EVENING SECTION @ THE CLAB MYSO ROAD BANGALORE...ALL THESE FOR ONLY RS 500.....(CHARGES INCLUDE TRANSPORT,LUNCH,DINNER BUFFET,FASHION SHOW ,LIVE PERFORMANCE AND NON STOP MUSIC UP TO 1:30AM) DONT MISS T....
Tuesday, March 8, 2011
TANZIA NA SALAMU ZA RAMBI RAMBI..
UONGOZI WA TASABA, unasikitika kutoa taarifa za msiba wa mama wa aliyekua mwanafunzi mwenzetu huku India ( Mysore ), Mcswiney Lupembe uliotokea siku ya jumamosi tarehe 5 march..
Tunawapa pole wale wote walioguswa na msiba huu na Mungu aifariji familia ya marehemu na kumsaidia vyema aliyekua mwanafunzi mwenzetu Mcswiney kupata faraja na busara katika kipindi hiki kigumu..

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE....
WASHABIKI NAO HAWAKUWA NYUMA SIKU YA FAINALI
Kama kawaida na desturi ya Watanzania walioko Bangalore chini ya Uongozi wa TASABA, waliendeleza desturi ya kujitolea kwa wingi kuja kuishangilia timu ya na kuipa moyo wakati ikicheza fainali za mashindano ya T-CAN....
MECHI YA FAINALI ZA ( T-CAN ) KATIKA PICHA
( Waliosimama kutoka kushoto ) : Rais wa TASABA Jumanne, Ima, Rapha, Kevoo, Dullah, Mpemba, Mazin, kapteni Freddy, Kocha J.J. Mapesa, kapteni msaidizi Jaffar
( Waliochuchuma, kutoka kushoto ) : Tuma, Kapteni msaidizi # 2 Khalidi Litoto, Ramson, Muddy, Shaah, Junior na Harry..
Waliokosa picha hii : Hamisi, Yonna, Abbas, Uthman na Kainkwa wote kutokana na majeruhi
Wa Cameroon wakivaa tayari kwa mechi yao mara baada ya kuwasili uwanjani