Ads 468x60px

Pages

Friday, March 4, 2011

BAADHI YA MASHUJAA WETU WALIOTUFIKISHA KWENYE HATUA HII YA NUSU FAINALI

Kwa mbaaali anaonekana aliyekuwa captain wa timu dulah na golikipa wetu nambari wan, Hamisi, beki wa akiba kutoka garden city Uthman mwenye mewani, wakiwa pamoja na rais wa tasaba na mweka hadhina wakipeana mawaidha ya hapa na pale tiyari kwa mechi zilizofuatia

Kiungo mchezeshaji Harry mwenye jezi ya kijani akisikiliza mwaidha ya captain wake Freddy na Shah mara baada ya mechi yao ya mwisho ya makundi

Winga machachari kutoka mitaa ya indranagar ustadh Mohamed Muddy akinyoosha viungo

Wachezaji kutoka pande za Kumaraswammy bwana Abbas na Hartman wakinyoosha viungo pamoja na kiungo wetu mchezeshaji Jaffar

Liungo mkabaji wetu bwana Ima, Mshambuliaji mrefu Andrew wakinyoosha viungo vyao tayari kwa mechi huku Shah akiongoza mazoezi hayo.

Striker mrefu kutoka Tanzania bwana Andrew akipasha

Winga wetu Rapha naye alikwepo uwanjani tayari kwa kuingia kama super sub. ambapo katika mechi ya ivory coast alipiga tic tac moja matata sana.

Beki ya kutumainiwa ya Tanzania ya kati ambayo imekuwa yapatana vyema sana na beki mwingine bwana Ramson kutoka acharya.Huyu Bwana wanamuita Yonna anatoka mitaa ya Garden city na Sea college.

Nambari saba aliyecheza mechi ya nigeria bwana Kevoo

Kiungo mchezeshaji wa Tanzania wa kutumainiwa Jaffar

Mmaliza shughuli zote Khalidi Litoto na captain msaidizi wa timu

Mazin, hapa sijui alikua anaswali kichina au alikua anakula tizi

beki ya kulia ya Tanzania bwana Tuma.mwenye kikofia akiongoza wenzake kula jalamba.

1 comments:

Anonymous said...

hongereni sana watanzania wote muishio Bangalore na hongera sana kwa uongozi mzima wa Tasaba...

Post a Comment