Ads 468x60px

Pages

Thursday, March 3, 2011

MUENDELEZO WA PICHA ZA MASHINDANO YETU


Mapacha wetu toka mama na baba tofauti bwana Ally na Deo ( aki na ukwa) wakiringishia viji mzuzu vyao wakati wa mechi ya nigeria

Mheshimiwa katibu wa U.A.C.B bwana Fidelis, akiwa na katibu mstaaafu wa TASABA bwana Ntemi pamoja na Oscar kutoka T.C Pallya wakifuatilia kwa ukaribu mechi za timu yetu

Msemaji wa TASABA bwana Aldo Kamugisha akichungulia mambo mawili matatu uwanjani huku wa Tanzania wengine wakiteta mara baada ya mechi.

Wana Tc Pallya pamoja na kiongozi wao Uthman Yunus mwenye miwani wakitafakari mambo mbali mbali uwanjani hapo pamoja na Msemaji wetu bwana Aldo Kamugisha

Wa Tanzania walijipanga vizuri na kwa amani kuishangilia timu yao ikicheza uwanjani.

Super sub. wa timu Harry pindi akiwa nje alikua anaongoza bendi yetu ya kidedea kuishangilia timu yetu na kuipa moyo.

Mechi kati ya WaGanda na wa Rwanda ikiendelea..


Rais wa wanafunzi wa Kiganda Bangalore ( USAB ) ndugu Fahad ( Kushoto ) akiwa na wananchi wake

0 comments:

Post a Comment