Ads 468x60px

Pages

Thursday, March 3, 2011

MASHABIKI LUKUKI WAMIMINIKA KUSHUHUDIA { T-CAN }


Golikipa wetu namba moja akisisitizia jambo kwa hisia kali


Timu yetu ya Tanzania ikijadiliana mambo mawili matatu mara baada ya mechi yao na Ivory Coast iliyoisha kwa suluhu ya bila kufungana.


Washabiki walikua moto wa kuotea mbalia kuishangilia timu yao kuanzia mwanzo wa mchezo mpaka mwisho...


Kama ionekanavyo Kidedea wetu wakiongozwa na rias wao wa Tasaba J4 wakiishangilia timu yao kwa nguvu zoooote wakati wa mechi dhidhi ya wa Ivory Coast


Mara baada ya Mechi,sio tu wachezaji waliochoka, bali hata mashabiki pia walikua hoi kama waonekanavyo hapa.


Mwalimu wa discpline akisimamia suala zima la ubadilikaji wa wachezaji

Wa Tanzania kutoka kila kona ya mjii huu wa Bangalore walimiminika kuja ipa support timu yao ikicheza mwanzo mwisho kama waonekanavyo hapa wakianza i support timu yao hata katika process nzima ya ubadilishaji wa nguo.



Naibu waziri wetu wa burudani bi Eunice Frankie akiwa na wadada wetu kutoka kona mbali mbali za Bangalore huku kwa mbaaaali wachezaji wakionekana kuanza badili jersey

0 comments:

Post a Comment