Ads 468x60px

Pages

Monday, March 28, 2011

GRADUATION YA ACHARYA YAFANA

wanyaruwanda wakionyesha utamaduni wao wa ngoma za asili

Wahitimu wakikata keki yao

mdau einstene steven akipokea nondo...


wahitimu wakifatilia hutuba toka kwa mgeni rasmi

Rais wa TASAA Mh. Hamis Fupi akiwa na Rais wa TASABA Mh. Jumanne Mtambalike pamoja na Mzungumzaji wa TASABA Mh. Aldo Kamugisha katika mahafali ya wanafunzi wa kiTanzania waishio Acharya, pembeni ni bwana George Maembe rafiki wa muda mrefu wa viongozi hao

0 comments:

Post a Comment