Ads 468x60px

Pages

Friday, March 4, 2011


TANZANIA..

Timu ambayo haiwezi tabirika, kulinganisha na timu nyinginezo zote ambayo ilifanikiwa kuingia nusu fainali kimkanda mkanda kupitia asante Ivory Coast, na kuwa wa pili kundi B

inatarajiwa toa burudani ya kufa mtu katika mechi zake 2 za mwisho.








CAMEROON..

Timu iliyoanza mashindano vibaya kupita semi finalist wote kwa kupoteza mechi ya kwanza na kujizolea kadi kadhaa za njano dhidi ya Sudan, wakaishia kushinda mechi zao mbili za mwisho na kufanikiwa wazidi kete wa Rwanda na kuwa wa pili katika kundi A.












SUDAN..

Videdea wa kundi A ambao walishinda mechi zao mbili za makundi na kutoa draw moja.
walimaliza mechi zao kwa kutoa warning ya kuwafunga waganda mabao 7 - 0, na kuwa kidedea wa kundi A












NIGERIA..

timu iliyoonyesha i moto wa kuotea mbali baada ya kupata point zote tisa kati ya tisa katika mechi zake za raundi ya makundi na kuwa Kidedea wa kundi B..




0 comments:

Post a Comment