Ads 468x60px

Pages

Tuesday, March 8, 2011

TANZIA NA SALAMU ZA RAMBI RAMBI..

UONGOZI WA TASABA, unasikitika kutoa taarifa za msiba wa mama wa aliyekua mwanafunzi mwenzetu huku India ( Mysore ), Mcswiney Lupembe uliotokea siku ya jumamosi tarehe 5 march..

Tunawapa pole wale wote walioguswa na msiba huu na Mungu aifariji familia ya marehemu na kumsaidia vyema aliyekua mwanafunzi mwenzetu Mcswiney kupata faraja na busara katika kipindi hiki kigumu..


Mcswiney (kushoto) akiwa na "pacha" wake Makoko Koshuma...


BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE....

0 comments:

Post a Comment